Saturday, September 25, 2010
WEMA UMARUFU WAKO UNATUCHUKIZA.
ni kwa mrefu sasa tumusikia habari tofauti kuhusu wema sepetu,sas atufahamu anafa haya yote kwa sababu ya umaaru wake au?mara leo yuko na huyu kesho yuko na huyu,mara chalz baba,kanumba,ee mara jumbe sasa mi najiuliza kuna umuhimu gani kuwa miss tanzania au ndo vile tena alimuonga lundenga nyapu.je,jamii inaiga nini kutoka kwake?wema umetuchosha na mambo yako.
Tuesday, June 29, 2010
ENGLAND YAPIGWA VIBAYA
Saturday, May 8, 2010
AJALI BARABARANI
eeebwana inakuwaje wanangu wote,dah leo bado kidogo nife,yani kuna bongr la ajali limetokea pande za kizuiani wakati natoka home kwa dumbalume,si unajua tena tatizo kwetu mbagala.kuna jamaa mmoja na kigali hake cha mkopo kaingia .... jmaa akasabibishia ok any wah hata ivyo nimesave wangu.....
Sunday, March 7, 2010
u ready got it
Subscribe to:
Posts (Atom)