Saturday, May 8, 2010

AJALI BARABARANI

eeebwana inakuwaje wanangu wote,dah leo bado kidogo nife,yani kuna bongr la ajali limetokea pande za kizuiani wakati natoka home kwa dumbalume,si unajua tena tatizo kwetu mbagala.kuna jamaa mmoja na kigali hake cha mkopo kaingia .... jmaa akasabibishia ok any wah hata ivyo nimesave wangu.....

No comments: