Saturday, September 25, 2010

WEMA UMARUFU WAKO UNATUCHUKIZA.


ni kwa mrefu sasa tumusikia habari tofauti kuhusu wema sepetu,sas atufahamu anafa haya yote kwa sababu ya umaaru wake au?mara leo yuko na huyu kesho yuko na huyu,mara chalz baba,kanumba,ee mara jumbe sasa mi najiuliza kuna umuhimu gani kuwa miss tanzania au ndo vile tena alimuonga lundenga nyapu.je,jamii inaiga nini kutoka kwake?wema umetuchosha na mambo yako.

3 comments:

Anonymous said...

Naona unachuki binafsi na huyu binti. Ni wangapi wanaanzisha uhusiano mpya baada ya ule wa awali kuwashinda? LIPI JEMA KUUMIA KTK MAPENZI KWA KUOGOPA KUANZA UPYA AU KUEJIFARIJI KWA KUWA NA WAPWNZI WENGINE PEMBENI YA HUO UHUSIANO ULIO WAZI ILIWAONEKANE WAMEDUMU KTK HUO UHUSIANO?

FIKIRIA KWANZA NA UJUE PIA KUANDIKA KISWAHILI NAONA KINAKUPIGA CHENGA.

SIMON KITURURU said...

Mmmmh!

jonas memuruti said...

wema umaarufu wako utaitumbukiza tasnia yetu ya filum tanzania pabaya