Sunday, March 7, 2010

u ready got it


waaoo kwa kweli tukizungu mzia suala music ya rnb bongo utoacha kumtaja steve kwamba yeye ndiye mkali wa rnb,sas basi hivi karibu mshikaji ana mpango wa kurealize album ya kwanza tangu aingie kwenye game.mmm hakutaja kuwa album hiyo itaenda kwa jina gani,stay tune...

No comments: